Ijumaa 26 Juni 2026 - 08:20
Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha

Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Singida wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika siku za maombolezo ya mwezi mtukufu wa Muharram.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yalifanyika katika mazingira ya utulivu na amani, huku yakihusisha waumini wa rika mbalimbali waliobeba ujumbe wa haki, uadilifu, mshikamano na kupinga dhuluma, wakisisitiza kuwa malengo ya Imam Hussein (as) yanaendelea kuhamasisha jamii kusimamia ukweli na maadili mema.

Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha

Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha

Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha

Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha